NOMA SANAA!! TAZAMA MKOROGO ULIVYOMUARIBU MAIMATHA.


Mwee Hata siamini ...Nimekutana na hii Picha Mahali eti Wameandika ndio Maimatha Alivyo kwa sasa ...Weupe wote Ule wa Mkorogo umepotea...Kama ni Hivyo Basi Wadada Mjifunze mkorogo sio Deal ..utapendeza miaka michache tu ...Mkorogo ukisha kuchoka unarudi kuwa mweusi....

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...