Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, April 13, 2014

PICHA: TAZAMA PICHA 11 KUTOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE GURUMO DAR USIKU HUU.

6gulumo
Maandalizi ya maziko ya Mwanamuziki Mkongwe Muhidin Gurumo aliefariki saa nane mchana kwenye hospitali ya taifa Muhimbili bado yanafanywa ambapo millardayo.com imefika nyumbani kwa marehemu usiku huu na kuongea na mtoto wa kwanza wa marehemu Abdallah Muhidin Gurumo.
Abdallah amesema mpaka sasa kama familia imeamua maziko yafanyike Jumanne April 15 2014 saa nne asubuhi kwenye kijiji cha Masaki wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani.
16gulumo
14gulumo
13gulumo
12gulumo

10gulumo
11gulumo
8gulumo
7gulumo
6gulumo
15gulumo

SOURCE: MILLARD AYO

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages