Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, April 17, 2014

SHILOLE NA PENZI LA MZIWANDA: NILIPONASA SASA SIPINDUI-MAHABA NINYONG.Na Denis Mtima
STAA wa filamu na mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shishi Baby’ amefunguka kuwa amenasa vilivyo katika penzi la msanii mwenzake, Nuhu Mziwanda hatarajii kuachika.

Akipiga stori na paparazi wetu, Shishi alisema yupo tayari kuolewa na Mziwanda kwani anampenda na ndiyo ubavu wake kutokana na vile ambavyo amekuwa akimwonesha mapenzi ya kweli tofauti na wapenzi wake wote waliopita.

“Huyu ndiye shemeji yenu, ndiye mume wangu mtarajiwa, ninampenda na yeye ananipenda kwa hiyo Mungu akijalia soon tutakamilisha taratibu za ndoa,’’ alisema Shishi Baby.
GPL

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages