Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, April 5, 2014

TAZAMA VIDEO: HIVI NDIVYO WEMA ALIVYO FANYA TIMBWILI KATIKA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS BAADA YA KUCHAFULIWA KWENYE MAGAZETI

Wema Isaac Sepetu aliyewahi pia kuwa Miss Tanzania 2006 hivi juzi alienda makao makuu ya Kampuni ya Global Publishers, Bamaga-Mwenge, jijini Dar es Salaam kuwapa makavu kwa kile anachodai kampuni hiyo kuandika habari za zisizo za kweli zake na mpenzi wake Nasib Abdul aka Diamond Platnumz. Tazama ilivyokuwa hapa.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages