Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, April 11, 2014

UKARIBU WA DIAMOND NA DJ FETTY WAZUA UTATA MITANDAONI.

Hot in town is concerning the relationship waliokuwa nao between dj fetty na diamond the platnumz,


Kumekuwa na rumors kuwa haiwezikana watu wawili hao wakawa na ukaribu kiasi hicho, kiasi ambacho wamekuwa wakipost kwenye mitandao ya kijamii mara kwa mara picha za pamoja,

  kwa taarifa ni kwamba the guys walikuwa nchini nigeria kwenye tour na project ya kutengeneza the new track kwa superstars wa africa akiwemo dbanj, fally ipupa na bongo tukiwakilishwa vyema na diamond , na tour yenyewe ilikuwa ni ya kuimba nyimbo ambayo itawahamasisha vijana wajihusishe kwenye kilimo.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages