Featured Posts

WEMA SEPETU APATA SHAVU LA MTANDAO WA AIRTEL .TAZAMA HAPA.

Baada ya JB, Joti na mastaa wengine wa Tanzania kula mashavu ya matangazo ya mitandao ya simu, sasa ni zamu ya Wema Sepetu. Mrembo huyo amekula shavu la kutangaza promotion mpya ya mtandao wa simu wa Airtel.
1959253_755566541141773_1293465776012357318_n

0 comments:

Header AD

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...