Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, May 15, 2014

BAADA YA DIAMOND KUCHAGULIWA TUZO ZA BET 2014,. HIKI NDICHO WALICHOSEMA MASTAA WA TANZANIA NA KENYA.

Screen Shot 2014-05-15 at 4.18.23 AM
Hii picha imepostiwa na Ommy Dimpoz muda mfupi tu baada ya
Diamond ambae yupo Uingereza na Ommy Dimpoz kupata taarifa za kuchaguliwa kwenye tuzo hizi.
Mastaa wengine waliotoa yao ya moyoni ni pamoja na mpenzi wake Diamond… Wema Sepetu, Ay, Young D, Salama Jabir, Madee na wengine akiwemo Belle 9 alieandika ‘kwa hatua hii tuseme thanks God ni historia kubwa kwa muziki wetu tofauti na ulipotoka mpaka hapa saluut Diamond Platnumz’
Screen Shot 2014-05-15 at 3.55.23 AM Screen Shot 2014-05-15 at 3.54.46 AM
Screen Shot 2014-05-15 at 3.54.34 AM
Screen Shot 2014-05-15 at 3.54.22 AM
Screen Shot 2014-05-15 at 3.54.04 AM
Screen Shot 2014-05-15 at 3.55.01 AM
Screen Shot 2014-05-15 at 3.55.15 AM
Screen Shot 2014-05-15 at 3.55.31 AM
Screen Shot 2014-05-15 at 3.55.41 AM
Screen Shot 2014-05-15 at 4.33.20 AM
Screen Shot 2014-05-15 at 4.33.35 AM
Screen Shot 2014-05-15 at 4.33.52 AM

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages