Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, May 6, 2014

INSTAGRAM WAFUNGA AKAUNTI YA RIHANNA BAADA YA RIRI KUPOST PICHA ZA UCHI.
Siku chache baada ya Instagram kumuonya Rihanna na kumtishia kumfungia akaunti yake kama asipozingatia masharti ya kuutumia mtandao huo ikiwemo kutoshare picha za utupu, akaunti hiyo ya Riri imetoweka ghafla kwenye Instagram.
rihanna-lui-1
Sasa hivi ukiingia katika akaunti yake iliyokuwa na jina @badgalriri iliyokuwa na zaidi ya followers milioni 12 hiki ndicho utakachokutana nacho.
page not found
Wiki iliyopita Rihanna alipost picha za utupu katika akaunti yake ya Instagram ambazo hata hivyo ziliondolewa, huku Riri akizipost tena picha hizo katika akaunti yake ya Twitter.
Bado haijafahamika kama Riri ameifunga akaunti yake ya IG au imefutwa na Instagram wenyewe.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages