Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, May 31, 2014

KIM KARDASHIAN ABADILI JINA INSTAGRAM NA TWITTER BAADA YA KUFUNGA NDOA NA KANYE WEST. TAZAMA HAPA.

Siku chache baada ya kufunga ndoa na baba wa mwanae Kanye West, Kim abadili jina lake katika akaunti zake za Twitter na Instagram na sasa ni Kim Kardashian West. Mrs West amefanya mabadiliko hayo jana (May 29).
kim west
kim west4
Mr & Mrs West walifunga ndoa Jumamosi iliyopita (May 24) huko Florence, Italia na harusi yao kuhudhuriwa na ndugu pamoja na baadhi ya watu maarufu. Ripoti zinasema kuwa wazazi hao wa North kwa sasa wako Ireland kwenye fungate yao.
kim west3
Juzi Kim alipost picha za kwanza za harusi yao na kuandika ‘Mr. & Mrs. Kanye West’ katika moja ya picha hizo.
kim west2

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages