Featured Posts

NEW OFFICIAL VIDEO: OMMY DIPOZ - NDAGUSHIMA.

Video ya wimbo mpya wa Ommy Dimpoz ‘Ndagushima’ ilitambulishwa jana jioni kwenye kituo cha TV cha MTV Base kwenye show yake ya Best of Spanking New. Na sasa itazame kwa mara ya kwanza hapa.

Video hiyo ilifanyika jijini London na iliongozwa na Moe Musa.

0 comments:

Header AD

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...