PICHA: WEMA SEPETU NA DIAMOND WAKIFANYA YAO CHUMBANI HUKO MTWARA. TAZAMA HAPA.MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ wakiwa katika pozi la kimahaba kitandani Naf beach hotel. Picha hizi Wema  amezitupia katika akaunti yake ya Instagram na kuandika maneno yafuatayo "Thank God tumemaliza salama...Nd we are Happy it went well...Alahamdulillah....Baadae inshallah...Tulale kwanza alafu yale mapichapicha na kila kitu, leteeeeers.."

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...