Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, May 4, 2014

UTAFITI: HII NDIO SODA INAYOWEZA KUMFANYA MWANAUME AWE TASA.

Kinywaji cha coca cola kimeendelea kuwa maarufu duniani lakini utafiti mpya umeonyesha kuwepo uhusiano wa kunywa sana kinywaji hicho na matatizo ya uzazi kwa wanaume.
Kwa mjimu wa utafiti huo uliochapichwa kwenye Jarida la Epidemiology la Marekani, wanaume wanaokunywa zaidi ya lita moja ya coca cola kwa siku wanakabiliwa na hatari ya kuwa tasa.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages