Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, May 13, 2014

VIDEO: HII NDIO VIDEO YA SOLANGE AKIPIGANA NA SHEMEJI YAKE JAY Z NDANI YA LIFT.

Angalia video ya mdogo wake Beyonce, Solange, akimshambulia Jay Z ndani ya lifti wiki iliyopita wakiwa wanatoka kwenye after party jijini New York. Sababu za Solange kumpiga makofi na mateke Jay Z bado hazijajulikana.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages