Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, June 20, 2014

BIFU KUBWA KATI YA DIVA NA KUNDI LA WANAUME TMK. SOMA HAPA

Kwa mujibu wa Chege Chigunda, Diva aliomba aonekane kwenye video yake na Temba ya wimbo wao Wauwe. Hata hivyo, mtangazaji huyo wa Clouds FM, amekanusha na kudai hawezi kujishusha kiasi hicho.
10401631_777424698956082_2003057756_n
Diva ametumia Instagram kuclear utata huo na kuandika:
Sijaomba nionekane kwenye video yoyote ya chege. chege aliniomba nionekane kwenye scene ya Jokate Airport nikiwa naendesha ndege and sikutokea kwenda airport and he called me kwa kunilazimisha niende nionekane sehemu zingine 2. ambazo nilionekana siku ya kwanza ya pili nikasema zifutwe. simple as that… niombe nionekane kwenye video for what. dats not the easiest way ya kuji defend. he knows better.. tusikerane saa hizi …. dafuq.”
Aliongeza: Unanijua unanisikia.. hawawezi nifanya lolote na walifuta kwa nini uliza? na sijarudishia gharama zozote licha ya kunitisha v2 vingi. my life my rulz. i just dont like the fact that wanaweza badili maneno sababu wanajisikia… dats crap.
Katika hatua nyingine, mtangazaji huyo ambaye pia ni muimbaji ameendelea kuthibitisha upendo wake kwa rapper wa ECT, Gwamaka aka GK.
Akipost picha wakiwa pamoja, Diva ameandika: Picture Speaks louder that words. Me n My who???? Baby… another one for the day. You know i love you baby…you are My world….don’t ever forget dat..yo the most amazing man i’ve ever met …love you my kitty bear. Smile and kisses all over My love Dove.”
1517285_1437181519884512_522303198_n

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages