Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, June 19, 2014

BRAZIL -FIFA WORLD CUP 2014: MABINGWA WATETEZI SPAIN WATUPWA NJE YA MASHINDANO.

Mabingwa watetezi wa kombe la dunia, Hispania, wametolewa nje ya michuano hiyo. Baada ya mechi mbili, Hispania wameambulia goli moja pekee bila ponti na magoli yakufungwa yakifika 7.
article-2661724-1EE719D500000578-587_634x408
Shock: Mabingwa watetezi wametolewa kwenye kombe la dunia 2014 baada ya kushindwa kwenye mechi mbili mfululizo
Hispania wameingia kwenye historia ya kuwa bingwa mtetezi aliyeshindwa kutetea kombe lake kuwazidi hata Italia walivyokuwa nchini Afrika Kusini miaka minne iliyopita. Pia Ufaransa yaliwakuta kidogo kama hayo 2002 lakini haijawahi kutokea bingwa mtetezi anatolewa nje baada ya mechi mbili za mwanzo.
article-2661724-1EE6E70800000578-175_634x416
Wachezaji wa Hispania wakiondoka uwanjani baada ya kuondolewa kwenye kombe la dunia

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages