Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, June 19, 2014

BRAZIL WORLD CUP 2014: BAADA YA CAMEROON KUPIGWA 4 - 0 NA CROATIA. EKOTTO AKAMTWAGA KICHWA MCHEZAJI MWENZAKE WA CAMEROON MOUKANDJO.


Benoit Assou-Ekotto (kulia) akimsogelea mwenzake Benjamin Moukandjo baada ya kipigo cha 4-0 kutoka kwa Croatia usiku wa kuamkia leo.
Benoit Assou-Ekotto akimtwanga 'ndoo' Moukandjo.
Moukandjo akimjia juu Ekotto baada ya kichwa hicho.
 
Samuel Eto'o akimtuliza Ekotto aliyepandisha hasira baada ya kichapo cha 4-0.
BEKI wa Cameroon, Benoit Assou-Ekotto aliamua kumpiga kichwa 'ndoo' mchezaji mwenzake Benjamin Moukandjo kufuatia kipigo cha mabao 4-0 dhidi ya Croatia.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo wakati wa mechi ya Kombe la Dunia 2014 kati ya Cameroon na Croatia.
Katika mpambano huo Cameroon waliambulia kichapo cha mabao 4-0 na kuyaaga mashindano hayo baada ya kupoteza pia mechi yao ya kwanza dhidi ya Mexico kwa bao 1-0.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages