Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, June 2, 2014

DIAMOND AMZIDI DAVIDO KWENYE MAONI YA BET AWARDS NANI ASHINDE. TAZAMA HAPA.
Pamoja na kumsaidia kumuongezea umaarufu kwa kukubali kushiriki kwneye remix ya ‘My Number One’, huenda Davido akaanza kujutia uamuzi huo kwakuwa Diamond Platnumz amegeuka kuwa mpinzani wake mkubwa kwenye tuzo mbalimbali zikiwemo za MTV MAMA, BET Awards na AFRIMMA.
diamond3
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, tuzo za BET zimeanzisha utaratibu wa kuwapromote wasanii wote waliotajwa kuwania akiwemo Diamond Platnumz.
“Diamond Platnumz is hoping to take home the award for Best International Act: Africa at the #BETAwards this year. SHARE this post if you think he should win. COMMENT below with the name of your favorite song by him,” wameandika BET Awards kwenye picha ya Diamond.
Maelezo hayo ndio yaliyoandikwa pia kwenye picha ya Davido na wasanii wengine. Cha ajabu ni kuwa picha ya Diamond imepata comments zaid ya 2,700 na ile ya Davido ikipata zaidi ya comments 540 tu.
Bonyeza hapa kucomment pia kumuongezea umaarufu Diamond.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages