Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, June 2, 2014

MTAZAME KIJANA HUYU MBRAZIL ALIYEFANYIWA UPASUAJI MARA 10 ILI AWE NA SURA YA KIKOREA.
Kijana wa Brazil mwenye nywele za blonde na macho ya blue, ameamua kufanya upasuaji ili awe na sura kama ya Mkorea.
page
Xiahn, 25, ni mpenzi wa tamthilia za Kikorea zilizomfanya avutiwa na muonekano wao. Xiahn amefanyiwa upasuaji mara 10 kupata muonekano anaoutaka.
article-0-1E65E0E600000578-435_306x423
Muonekano wa zamani

article-2645950-1E65E10300000578-279_634x738
Muonekano wa sasa

article-2645950-1E65E11000000578-59_634x357
article-2645950-1E65E0E200000578-346_634x401
article-2645950-1E65E0EF00000578-175_634x475
article-2645950-1E65E0FB00000578-986_634x433
article-2645950-1E65E10700000578-133_634x421

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages