Featured Posts

PICHA: MKUDE SIMBA NA WENZAKE WALIVYOFUNIKA UZINDUZI WA E FM - MWEMBE YANGA.

Uzinduzi wa kituo kipya cha Radio E FM ulifanyika jana Jumapili (June 1) katika viwanja vya Mwembe-Yanga, Temeke jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa watu kama picha zinavyojieleza.
Efm2
Wasanii mbalimbali akiwemo Ommy Dimpoz, Shilole, Q-Chilla, PNC Mkude Simba aka Kitale na wengine walikonga nyoyo za mashabiki waliojitokeza.
Tazama picha
Efm1
Efm3
Efm4
Efm5
Efm6
Efm7
Efm8
Efm9
Picha: Global Publishers

0 comments:

Header AD

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...