Featured Posts

TUZO ZA BET: DIAMOND ASHINDWA KUNYAKUA TUZO. DAVIDO AONDOKA NA TUZO. HIKI NDICHO ALICHOKISEMA DIAMOND


Msanii wa Nigeria, Davido ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Best African Act, katika BET Awards 2014 zinazofanyika usiku huu Los Angeles, Marekani.
Davido alikuwa anawania kipengele hicho na wakali wengine kutoka Afrika akiwemo Diamond Platinumz, Mafikizolo, Toofan, Sarkodie na Tiwa Savage.

0 comments:

Header AD

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...