Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, July 17, 2014

BAADA YA SHILOLE KUKATALIWA NA FAMILIA YA NUH MZIWANDA, HIKI NDICHO ACHOALICHOSEMA!!

MWANADADA anayefanya vizuri kunako gemu la muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametetea maisha yake ya kimapenzi na Nuh Mziwanda, akisema madai kwamba ni kijana mdogo kuliko yeye, siyo kweli kwani wanalingana umri. Mwanadada anayefanya vizuri kunako gemu la muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ “Mimi na Mziwanda wangu tunalingana kiumri lakini nawashangaa sana wanaonisema kila siku eti ninatembea na Serengeti boy, jamani mpenzi wangu siyo mdogo kwangu,
tunalingana umri, ninampenda na yeye ananipenda, hatujali maneno ya watu,”alisema Shilole.

Nuh Mziwanda
Katika kuonyesha mapenzi yake kwa mwanadada huyo ambaye pia ni muigizaji wa filamu, Mziwanda amejichora tattoo yenye jina la msanii huyo, ambalo haliwezi kufutika.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages