Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, July 16, 2014

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 HAYA HAPA. CLICK HAPA KUTAZAMA.

Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka.

Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825

Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

KUYAONA MATOKEO . BOFYA HAPA
SHULE 10 ZILIZO ONGOZA
 1. IGOWOLE
 2. FEZA BOYS
 3. KISIMIRI
 4. IWAWA
 5. KIBAHA
 6. MARIAN GIRLS
 7. NANGWA
 8. UWATA
 9. KIBONDO
 10. KAWAWA
SHULE 10 ZA MWISHO
 1. BEN BELLA
 2. FIDEL CASTROL
 3. TAMBAZA
 4. MUHEZA HIGH SCHOOL
 5. MAZIZINI
 6. MTWARA TECHNICAL
 7. IYUNGA TECHNICAL
 8. AL-FALAAN MUSLIM
 9. KAULIA
 10. OSWA

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages