Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, July 11, 2014

PICHA: PENNY AIONESHA PETE YAKE YA UCHUMBA INSTAGRAM, BAADA YA KUCHUMBIWA.

Aliyewahi kuwa mchumba wa Diamond Platnumz, Penniel Mungilwa aka VJ Penny anaonekana kupona kidonda cha kuachwa na hitmaker huyo baada ya kile kinachoonekana kupata mwanaume anayetaka kummiliki kimoja. Kwa mujibu wa picha aliyoiweka Instagram, Penny amevishwa pete ya uchumba.
penny pete
Mtangazaji huyo wa kipindi cha Genge cha EFM amepost picha hiyo inayoonesha mkono wake wa kushoto ukiwa juu ya usukani wa gari ambao una pete katika kidole cha chanda.
penny
“Mdogo hicho nini kwenye kidolee?? Kabla sijaanza kurukaruka kwa furaha,”amehoji mmoja wa followers wake.
“Hv kumbe ni kweli @vjpenny04 ume engage? Kuna sehemu nilickia, basi sawa hongera zako mpe hi @halimakimwana1,” ameandika mwingine.
Mungu awaondoshee hasad za waja wenye chuki za roho,ameenRabilaallamin @vjpenny94@halimakimwana1, na Kama ukweli uko engaged mwanangu mie furaha tele hapa nasubiri invitation card yangu ya mr&mrs na tutakuja all the way from Uk kwa jinsi nilivyo na hamu nayolove u all wanawake wenye msimamo, “amechangia mwingine.
Katika maelezo ya picha hiyo, Penny amesema; “Road trip…site here we come… Cc @halimakimwana1.”

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages