Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, July 4, 2014

PICHA ZA DIDA AKIUGULIA MAKOVU,. AKIDAIWA KUPEWA KICHAPO NA MUME WAKE EZDEN.Majeraha katika mwili wa Dida baada ya kipigo kutoka kwa mumewe Ezden.
Picha hizo zinamuonesha Dida akiwa na majeraha makubwa sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwemo mkononi, kichwani na mapajani.
Dida.
Akizungumzia kipigo hicho hivi karibuni, Dida alidai kuwa, baada ya kutofautiana kufuatia wivu wa kimapenzi, mume wake huyo baada ya kumporomoshea mitusi, alichukua mkanda wa suruali na kumpiga nao hadi kumsababishia majeraha hayo hali inayomfanya muda mwingi avae kininja kuficha aibu.
Dida akionyesha majeraha aliyoyapata.
Mpaka sasa wawili hao kila mmoja kivyake huku ndoa ikielezwa kuwa haipo tena.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages