Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, July 31, 2014

RONALDO AKANUSHA KUSIMAMIWA KIMICHEZO NA KAMPUNI YA LIL WAYNE.. HIKI NDO ALICHOANDIKA.

Nyota wa soka wa Ureno Cristiano Ronaldo amekanusha habari zilizosambaa hivi karibuni kuwa amesaini mkataba wa kusimamiwa na kampuni mpya ya usimamizi wa michezo ya rapper Lil Wayne.
Ronaldo
Wiki iliyopita mtandao wa TMZ uliripoti kuwa kampuni mpya ya Weezy itamsimamia Ronaldo shughuli zote za kimichezo kuanzia branding, endorsements, modeling hadi marketing kwa nchini Marekani, akiwa kama mteja wa kwanza.
Ronaldo alitweet kukanusha habari hizo:
“Kumekuwepo na habari kuhusu mabadiliko ya timu yangu ya usimamizi, hayo yote ni uongo, na ninaweza kuwahakikishia timu yangu ni ile ile na itaendelea kuwa ile ile” .

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages