Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, July 29, 2014

SASA ZAMU YA SHAA NDANI YA COKE STUDIO AFRICA, BAADA YA VANESSA MDEE NA JOHN MAKINI

Mwaka huu Coke Studio Africa imeamua kuchukua wasanii wengi zaidi nchini kushiriki kwenye kipindi hicho.
928050_1518966938334459_1557598827_n
Shaa akiwa na Jackie
Baada ya Vanessa Mdee kuungana na msanii wa Nigeria, Burna Boy na Joh Makini kurekodi na Chidinma wa Nigeria, sasa ni zamu ya Shaa ambaye yupo Nairobi, Kenya kurekodi kwenye kipindi hicho na msanii wa Uganda, Jackie Chandiru.
“Ndani ya #CokeStudioAfrica wiki hii Malkia wa Uswazi nikiwa na @JackieChandiru #WanawakeOyeeee hahahah,” ameandika Shaa kwenye Twitter.
10520130_339873462833859_922800032_n
10520229_607108126073981_813222334_n

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages