Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, July 11, 2014

TERRENCE J YUPO DAR, LEO YUPO SLIPWAY ATAKUWA AKIGAWA KITABU CHAKE. TUKUTANE HAPO

Mtangazaji wa E! Entetainment TV ya Marekani Terrence J ameingia Dar es Salaam usiku wa july 10 ikiwa ni ahadi aliyoitoa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ya kuwaleta wadau wa muziki ili kubadilishana mawazo na wasanii pamoja na wadau wamuziki wa Tanzania.
51oAt7bQyCL

Terrence J leo july 12 saa 8:00 mchana atakuwa katika duka la A Novel Idea iliopo Slipway, Msasani, ambapo ataendesha kliniki ya kugawa bure kitabu chake cha “The Wealth of My Mother’s Wisdom” kwa watu 100 wa kwanza. Hivi vitabu vitasainiwa na Terrence J.
Pia kuanzia saa 2:00 usiku atakuwa katika usiku wa red carpet event ndani ya ukumbi wa Mlimani City ambapo ataonyesha filamu yake ya “Think like a man too” huku host ya show hiyo akiwa ni mwenyewe.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages