Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, July 9, 2014

YALIYOMKUTA JOYCE KIRIA BAADA YA KUINGILIA SAKATA LA FLORA MBASHA. SOMA HAPA.


SOO! Mtangazaji anayedili zaidi na mambo ya haki za wanawake Bongo, Joyce Kiria amenagwa na watu mbalimbali mitandaoni kwa kile kinachoonekana kuingilia sakata la mwimbaji wa Injili nchini, Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha, akionekana zaidi kumtetea Flora.


Licha ya kunangwa kwa maneno makali mara kwa mara, Joyce ameendelea kuandika kila wakati kuhusiana na ishu hiyo, akionyesha hisia zake waziwazi kuwa yupo upande wa Flora jambo ambalo limepingwa vikali na wachangiaji walio wengi, wakimtaka asijadili suala lililopo mahakamani.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages