Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, August 30, 2014

AUDIO: DIAMOND ATUPIA VIPANDE VYA WIMBO WAKE MPYA "NITAMPATA WAPI" SIKILIZA HAPA


Kupitia Instagram yake hit maker wa ‘Number 1’ ameamua kuwaonjesha kidogo mashabiki wake wimbo mmoja ulioko kwenye maktaba yake.

“wakati Mwingine natamanigi hata mngepata dakika moja tu ya kuskia nyimbo nilizo nazo ndani, … hii inaitwa #Nitampata_wapi? sjui kina @babutale wataitoa lini… maana haipo kabisa katika list ya nyimbo zitolewazo… ila, kwakuwa nyie ni watu wangu wa nguvu nimeamua kuwaibia kidoogo, sjui watanimind!#GermanyWeekEnd.”
– Diamond

“Kwa heshima yenu tu, hichi kipande cha mwisho… ( Alonifanya silali, jua kali, nimtafutie tukale, lakini wala hakujali… darling, akatekwa na wale….) #NITAMPATA_WAPI? #One_Of_Unreleased_Love_Song #GermanyWeekEnd”
Weekend hii Diamond na vijana wake wa Wasafi wako Ujerumani ambapo wamefanya show ya kwanza usiku wa jana.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages