BABU TALE: SIDHANI KAMA KUNABIFU KATI YA DIAMOND NA ALIKIBA.

Meneja wa Diamond, Babu Tale amesema haoni kama kuna beef kati ya msanii wake na Alikiba bali ni ushindani wa kibiashara.
Babu Tale akiwasili jijini Mwanza
“Mimi sidhani kama Diamond na Ali Kiba wana beef, ni biashara, challenging,” Tale amekiambia kipindi cha Sunrise cha Times FM.
“Sijawahi kuona wanagombana katika maisha yangu. Watu wanaoandika nyuma wanaandika kwa sababu wanaamua kuandika lakini mwisho wa siku Diamond na Ali Kiba wote ni wanamuziki. Without challenge Diamond hawezi kuendelea au Ali Kiba hawezi kuendelea.”
Source: Tovuti ya Times Fm

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...