PICHA: ALLY KIBA AME "UNFOLLOW" WATU WOTE ALIOWA "FOLLOW" INSTAGRAM. TAZAMA HAPA.


Hii ndo official account ya Instagram ya Ally Kiba. ameamua kuunfollow watu wote aliokuwa akiwafollow na kuzua maswali as to why amefanya hivyo. Sijui alikuwa akifollow wangapi but walikuwepo na sasa ndo kama hivyo hakuna kitu.

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...