Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, August 12, 2014

PICHA: KIBONDE AKIWA NDANI YA SELLO POLISI OYSTERBAY, JAPO AACHIWA KWA DHAMANA

Mwandishi wa habari, Ephraim Kibonde jana aliachiwa kutoka Kituo
 cha Polisi Oysterbay, Dar es Salaam alikokuwa akishikiliwa tangu 
mwishoni mwa wiki kwa tuhuma za kusababisha ajali ya gari na kutoa lugha
 ya matusi kwa askari wa usalama barabarani

Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Camillius 
Wambura alithibitisha jana kukamatwa kwa Kibonde na kwamba walikuwa 
wakiendelea kufanya uchunguzi wa tukio hilo.

Hata hivyo taarifa zilizopatikana jana jioni zilidai kuwa Kidonde aliachiwa kwa dhamana wakati uchunguzi ukiendelea.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages