Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, August 7, 2014

U HEARD (AUDIO): MSIKILIZE NUH MZIWANDA AKIONGEA NA SUD BROWN BAADA KUACHANA NA SHILOLE.

Kutoka kwenye kinywa chake mwenyewe   Nuh Mziwanda, leo hii amethibitisha kukatisha uhusiano wake wa kimapenzi na msanii mwenzake "Shilole" 
Nuh amesema sababu ya kuachana na Shilole ni baada  ya kukuta meseji kwenye sim ya shilole  iliyokuwa kwenye gari inayosema "nieshafika Dar" baada ya kuiona meseji hiyo alimtaka Shilole ampigie mtu huyu mbele yake kusudi ajue ni nani, lakini Shishi alipopiga simu hiyo alijiwahi na kuanza kumwambia "Niko na Nuh Mziwanda" yaani kusudi yule ajue kama mi nipo nae asiongee chochote.
Nuh amedai baada ya kuona hivyo, alimpiga kibao shilole na ugomvi ukaanzia hapo, ambapo ulipelekea mpaka kwenda kuchukua vitu vyake kwa shilole. 
msikilize hapa akiongea na Gossip Cop

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages