Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, September 2, 2014

DIAMOND KUPERFORM NDANI YA UFUNGUZI WA BIG BROTHER JUMAMOSI HII

Diamond Platnumz atakuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye uzinduzi wa msimu mpya wa shindano la Big Brother Africa utakayofanyika Jumamosi hii, September 7 nchini Afrika Kusini.
Diamond
Akizungumza na bongo5 leo, meneja wa staa huyo, Babu Tale amesema Diamond atarejea leo akitokea nchini Ujerumani ili kujianda ya na show hiyo.
“Diamond anarudi leo saa tano usiku atakuwa kasharudi bongo kwa sababu weekend hii tunaperform kwenye Big Brother launch kwahiyo tunaenda South Africa. Tukitoka South Africa tunakwenda Nairobi kwenye Coke Studio kurekodi. Tukitoka Nairobi tunakwenda Ungereza kwenye show ya African Unplugged, kwaHiyo ratiba yetu ipo tight,” amesema Tale.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages