MSANII WA BONGO FLEVA "SIDE BOY MNYAMWEZI AFARIKI DUNIA.

R.I.P SIDE BOY MNYAMWEZI

Msanii wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na nyimbo kama 'Kua uone', 'Usimdharau usiyemjua', Said Salim 'Side Boy Mnyamwezi' amefariki dunia leo katika Hospitali ya Nyangao iliyopo Mkoani Lindi.
R.I.P Side Boy Mnyamwezi.


0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...