PICHA: PETIMAN AFUNGA NDOA NA ESMA PLATNUMZ DADA YAKE DIAMOND. TAZAMA HAPA ILIVYOKUWA

Esma Platnumz ambaye ni dada wa Diamond Platnumz amefunga ndoa leo hii na Petit Man ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu ya Endless Fame Productions.
Petit Man pia ni meneja wa mwanamuziki Mirror. Ndoa hiyo ni ya kiislamu na celebrities kadhaa wamehudhuria

Hongereni sana....


0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...