T.I NDIYE MSANII KUTOKA MAREKANI ATAKAYE TUMBUIZA KWENYE JUKWAA LA FIESTA DAR 2014.

Hatimaye msanii wa kimataifa anayetarajiwa kutumbuiza kwenye Fiesta ya Dar mwezi ujao ametajwa, ni rapper Clifford Joseph Harris, Jr aka T.I wa Marekani. T.I atashare jukwaa na wasanii wa Bongo katika show ya mwisho ya msimu wa Serengeti Fiesta 2014, itakayofanyika kwenye viwanja vya Leaders October 18.
T.I kwa sasa anafanya vizuri na single yake mpya ‘No Mediocre’ aliyomshirikisha Iggy Azalea.

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...