ALICHOKISEMA MISS TANZANIA 2014 SITTI MTEMVU KWENDA KWA WATANZANIA.

Mshindi wa Redd’s Miss Tanzania, Sitti Mtemvu amewataka watanzania kuwa na subira kwakuwa kuna mambo mazuri atayafanya kaajili yao.
IMG_5076
Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu
Mtemvu alikuwa akizungumza na Bongo5 usiku wa Jumamosi (October 11) ndani ya ukumbi wa Mlimani City baada ya kutawazwa na kuwa mshindi wa Redd’s Miss Tanzania 2014.
IMG_5058
“Mimi nawaambia Watanzania wategemee mambo mazuri kutoka kwangu na pia nitafanya vitu vizuri kwaajili ya maendeleo ya jamii yetu, asanteni,” alisema Sitti huku akitoa machozi ya furaha.

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...