Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, October 30, 2014

AUNTY EZEKIEL: SINA MIMBA NIMENENEPA TU! ( YADAIWA ANAMIMBA YA MOSE IYOBO- DANCER WA DIAMOND)

Habari zilizozagaa mitaani kupitia mtandao wa Instagram kuwa staa wa filamu za Kibongo Aunt Ezekiel huenda ni mjamzito, zimekanushwa na muigizaji huyo.
Aunt Ezekiel akimlisha keki JB
Alipoulizwa kupitia U Heard ya XXL ya Clouds Fm kama anatarajia kuwa mama, Aunt amesema hana ujauzito wowote isipokuwa anachojua yeye amenenepa tu na kama mimbo ipo basi watu wataona. Baadhi ya mashabiki wake wamekuwa wakimuuliza kama ni mjamzito kutokana na muonekano wa tumbo lake kwa sasa.
Pia Aunt amekanusha kuwa na uhusiano na dancer wa Diamond aitwaye Moze Iyobo.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages