Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, October 6, 2014

DIAMOND ASHINDA TUZO YA KIMATAIFA YA IRAWMA 2014 "BEST AFRICAN ENTERTAINER" AMPIKU DAVIDO NA WENGINE.

 
Diamond Platnumz amewabwaga Davido, Awilo Longomba, Willy Paul Msafi (Kenya) na Eddy Kenzo wa Uganda na kushinda kipengele cha ‘mtumbuizaji bora wa Afrika – Best African Entertainer kwenye tuzo za IRAWMA (International Reggae and World Music Awards).
ningependa kuwataarifu Wadau wangu kwamba #MdogoMdodo ndio nyimbo bora yenye Mahadhi ya Kiafrika na Kijana wenu Diamond ndio M’burudishaji bora wa Mwaka kwenye tunzo hizi za #IRAWMA zilizofanyika nchini Marekani 04|10|2014….. Asanteni sana sana…hakika Umoja ni nguvu, tuhamieni kwenye nyingine sasa,” ameandika msanii huyo kwenye Instagram
irawma

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages