Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, October 6, 2014

KAMA KAWAIDA YA SINTAH: AINGILIA KATI BAADA YA SUGU KUACHANA NA MKEWE FAIZA. SOMA HAPA UONE.

"Wakati pepo linaendelea kusimamia kucha na kutawanya ndoa/mahusiano ya mastar abroad na Bongo city, mie naendelea kuswali sana kumuomba Mungu anusuru mahusiano na ndoa ambazo tayari zina watoto ndani yake, wakati Faiza analia sana na akiamini kwamba kwenye Instagram atapata afueni naomba nimwambie BIG NO.....

  Faiza dear ,naomba nigeuke kuwa mshauri wako leo 
Social Media haikusaidii chochote ndugu ukitangaza unamatatizo kuna watu wanafurahia matatizo yako na wengi wakichekelea bora, wengi katika page yako wata comment pole lakini wanakun'gon'ga,,,,bora ungekuja huku kama anonymous tukakushauri bila mtu kujua ni wewe ama? hizo sifa za Instagram ziache na si kwa sugu tu, bali hata your next, i know how u feel but Instagram audience wont help u dear ....

muombe Mungu kwa sasa na acha ku post ujinga on IG katika hii dunia hakuna asiye na matatizo katika ndoa/mahusiano yake, hata hao unawaona wanacheka nje ila ukiingia ndani ni kiama, plz try to be secretive 
watu wana matatizo yako madogo but huwasikii waki yaraya  IG, nakuonea huruma sana tena sana ila ukweli naomba nikwambie .

not only you hata wasichana wengine pia but nakuchukulia wewe kama case study kwakuwa umejitangaza
hii ni dunia utakuja tu kugombana na mtu watatumia udhaifu wako kuku  destroy , usione sie tunaambiwa tunaficha watoto ktk box we try to put our family issues outside the box kwa kuhofia hayo mtu akiku destroy should be u not ure family member

ukichukua ushauri wangu well n good, usipochukua uache but ipo siku utanikumbuka na kusema kuna mtu aliniambia, hii blog huwa tunatoa ushauri na kuwapa watu ukweli ila kama unavyojua watu hawapendi ukweli... ila hatutochoka kusema ukweli" Sintah

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages