Featured Posts

FINALLY: RIHANNA AREJEA INSTAGRAM.. HIKI NDICHO ALICHOKISEMA.

Baada ya kuwa kimya kwa miezi sita, Rihanna amerejea tena kwenye mtandao wa Instagram.
10735199_865418323498640_2135625987_n
Picha ya kwanza ya Rihanna kwenye Instagram baada ya kukaa kimya kwa miezi 6
“Hellurrr #badgalback,” aliandika kwenye picha hiyo.
Akaunti yake ilisimamishwa mwezi May baada ya kupost picha akiwa mtupu kutoka kwenye kava la jarida la Ufaransa, Lui. Picha hiyo ilikiuka masharti ya mtandao huo.

0 comments:

Header AD

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...