Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, November 6, 2014

UNAHITAJI KUJUA UMEBAKIZA SIKU NGAPI KUISHI DUNIANI,? TUMIA APP HII KWENYE SIMU YAKO.MacabreUkuaji wa teknolojia unazalisha stori mpya kila siku ila leo huenda ukashtuka; unajua simu yako inaweza kukwambia siku yako ya kufa?
‘Macabre iPhone App’ ni application ambayo unaweza kuiweka kwenye simu yako na jukumu ambalo utakuwa nalo ni kuweka ratiba zako zote za siku nzima, application hiyo inapiga hesabu halafu inakupa majibu siku zako ngapi zimesalia kuishi duniani.
Macabre 
Kali zaidi ni kwamba majibu utakayopewa ya idadi ya miaka, miezi, wiki, siku na saa itakuwa inaonekana kwenye screen lock, kwa hiyo kila unapotoa lock ya kwenye screen itakuwa inaonekana hapo juu.
Majukumu yako ya siku ndiyo yataakayoamua siku ngapi utaishi.
Application hiyo inapatikana kwa simu za Apple zinazotumia iOS na Windows 8.
Unadhani uko tayari kuitumia application hii?

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages