Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, November 2, 2014

VANESSA MDEE AOEKANA KWENYE KIPINDI CHA "THE KARDASHIAN"

Vanessa Mdee ameonekana kwenye show ya Kourtney And Khloe Take The Hamptons inayooneshwa kwenye kituo maarufu cha runinga, E! Entertainment cha Marekani.
13264_1064698616877889_8527567974793583869_n
Khloe-Kourtney-600x450
Kourtney na Khloe ni dada zake za Kim Kardashian
Kwenye show hiyo ya msimu mpya iliyoruka jana, November 2, Vanessa Mdee anaonekana akimhoji rapper French Montana.
10785023_882492671775935_222306960_n
Show hiyo ilianza kwa kuonesha safari ya Khloe nchini Afrika Kusini ambako alimsindikiza aliyekuwa mpenzi wake huyo, kwenye MTV African Music Awards 2014, zilizofanyika June.
Vanessa akiwa kama mtangazaji wa MTV Base ndiye aliyewahoji wasanii hao na hivyo sehemu aliyokuwa akimhoji Montana imeonekana kwenye Kourtney And Khloe Take The Hamptons.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages