Featured Posts

ALICIA KEYS NA SWIZ BEATZ WAPATA MTOTO WA KIUME,. WAMEMPA JINA ILI!!! SOMA HAPA.

Muimbaji Alicia Keys aliyekuwa mjamzito na mumewe Swizz Beatz wamepata mtoto wa pili aliyezaliwa Jumamosi Dec 27.
alicia_husband
Wanandoa hao wametangaza kupitia Instagram kuwa mtoto wao wa pili aliyezaliwa ni wa kiume na wamempa jina la Genesis Ali Dean.
Keyz na Beatz walifunga ndoa mwaka 2010 na kufanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume aitwaye Egypt miezi miwili baada ya ndoa.

0 comments:

Header AD

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...