Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, December 7, 2014

DAVIDO ASHUSHIWA MATUSI YA NGUONI NA WATANZANIA KWA KAULI YAKE CHAFU BAADA YA USHINDI WA IDRIS BBA.SOMA HAPA


davido
Baada ya ushindi wa Big Brother Africa 2014 kwenda kwa Mtanzani IDRIS, watu wengi wakionekana kutoa pongezi nyingi kwa kijana huyo lakini baada ya nusu saa ikawa tofauti kwa upande wa msanii Davido kutoka Nigeria baada ya kutuma status yake kwenye account yake ya Twitter kuonekana kupinga ushindi huo. Account hiyo iliandika hivi nanukuu
“N they cheat again lol”
Kutuma status hii tu inamaanisha kuwa hata tuzo tatu alizochukuwa msanii wa bongo fleva Diamond kumbe hakupendezwa na ushindi ule, kama ingekuwa hajapendezwa na ushindi wa Big Brother basi asingetumia neno hili la AND THEY CHEAT AGAIN. Mdau unasemaje kutokana na status ya huyu msanii Davido

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages