Breaking

Post Top Ad

Friday, December 19, 2014

EX-BOYFRIEND WA NICK MINAJ AFIKIRIA KUJIUA BAADA YA NICK KUMPIGA KIBUTI,.. KISA NI MEEK MILL
Aliyekuwa boyfriend wa Nicki Minaj ameumizwa na kitendo cha kupigwa kibuti kiasi kwamba anafikiria kujiua.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Safaree Samuels amewaambia washkaji zake kuwa ameumizwa na kuvunjika kwa uhusiano wake wa miaka 12 na Nicki. Kutokana na hali hiyo amekuwa akijifungia ndani usiku na mchana akivuta bangi na amezungumza wazi kuhusu kutaka kujitoa uhai wake.

Nicki Minaj Album Signing For "Pink Friday: Roman Reloaded"
Safaree anawaambia washkaji zake kuwa hawezi kumpata tena Nicki kwasababu ana uhusiano na Meek Mill. Anasema hiyo ni adhabu kwake kwakuwa anaamini Meek Mill ndiye aliyemharibia kwa Nicki kwa kwa madai ya uongo kuwa alimsaliti.


Marafiki zake wamesema wanahofia kuwa hivyo si vitisho vya kupuuzia.

Post Top Ad

Pages