HABARI NZURI KWA WATUMIAJI WA WHATSAPP "SASA TUTAANZA KUPIGA NA KUPOKEA SIMU"

WhatsApp inajipanga kuongeza upigaji na upokeaji simu (voice calls) kwenye app yake kwa mara ya kwanza.


Watumiaji wa app hiyo wataweza kupiga simu kwa watu walionao kwenye contacts vile vile kama wanavyoweza kuwatumia ujumbe.
Mtandao wa Uholanzi, AndroidWorld umeweka screenshots za majaribio ya huduma hiyo.

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...