Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, December 2, 2014

HATIMAYE ITV YAJIUNGA NA DSTV. "LEO SAA 5 ASUBUHI" 2/12/2014.

Hatimaye channel ya ITV tanzania imejiunga katika king'amuzi cha DSTV baada ya majadiliano yaliyodumu kipindi kirefu kati ya uongozi wa kampuni hizo mbili.akiongea na itv mkurungezi wa itv Bi, Joyce muhavile amesema kujiunga kwao kmeleta neema kwa watazamaji wengi waliokuwa wakiwaza mda mref\u kwa channel iyo kujiunga katika king''amuzi hicho,

 Naye mkurugenzi wa DSTV Bi Babra muhongi amesema imekuwa furaha kwao kwa channel iyo kujiunga na dstv kwani nao wakekuwa na wakipata maswali mengi kwa wateja waojuu ya ITV kujiunga na dstv...

ITV itaanza kurusha matangazo yake leo tarehe 2/12/2014 kuanzia saa 5 asubuhi katika king'amuzi hicho cha DSTV

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages