Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, December 4, 2014

PICHA: ALIKIBA AKISHOOT VIDEO MPYA SOUTH AFRICA "MWANA" TAZAMA HAPA.

Alikiba amesafiri hadi jijini Cape Town, Afrika Kusini kwenda kushoot video mpya.
10809648_391264047706717_1301671596_n
Inavyoonekana staa huyo amekwenda kushoot video ya wimbo wake ‘Mwana’ uliotoka miezi kadhaa iliyopita.
10809551_1580625418833092_1220378353_n
Kiba ameshare picha kadhaa kwenye Instagram akiwa location huku moja anaonekana akiwa na dancers wa kike.
10847811_873743942649078_2506836612100726369_n

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages